MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara umeanza, huku jumla ya wachezaji 50 wakiwa wamesajiliwa kipindi cha dirisha dogo la Januari. Wakati dirisha dogo la usajili likiingiza idadi hiyo ya ...
KLABU ya Coastal Union inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, imesema haitasajili na haitaacha mchezaji yoyote kipindi cha dirisha dogo la usajili, imethibitishwa. Katibu Mkuu wa Coastal Union, Omary ...